Asante Kwa Wema Wako Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Asante kwa wema wako
Fadhili zako ni za milele
Asante kwa wema wako
Fadhili zako ni za milele
Asante kwa wema wako
Fadhili zako ni za milele
Asante kwa wema wako
Fadhili zako ni za milele
Nikitafakari kwa yale yote umetenda,
Moyo wangu wa bubujika ah ah ah
Umeniokoa, ukanipa uhai
Ukanilisha, ukanipa tumaini
Ndiposa nita kuimbia Baba ah ah ah
Me I go praise and thank you me Papa God oh
For everything you've done for me no one could ever do so
You saved me, you died for me on that wooden cross
unconditionally you saved me now I'm a free man
Nitakuishia
Milele milele eh eh eh
Asante kwa wema wako
Fadhili zako ni za milele
Asante kwa wema wako
Fadhili zako ni za milele
Asante kwa wema wako
Fadhili zako ni za milele
Asante kwa wema wako
Fadhili zako ni za milele