Fool Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Yeah, Yahudii
RockillersAfrica
Nilishaona red flags ila nkapotezea
Nika jihisi kidume kwenye penzi nimebobea
Sikutaka ushauri utamu asali imekolea
Nikazama kisima kirefu siwezi kuogelea I swear
Nilipoteza muda kwa zile late calls
Nika lose focus kisa your fake promises
Nika watoka rafiki ukawaga my only choice
Kumbe nimeyakanyaga, mi ni mjinga of course
I thank God uliniacha salama na
Maumivu naamini nitapona kwa haraka japo
So rahisi ila bado nangangana
Naenda race na maisha na zidi kupigana
Niliamini mi na wewe paka siku ya kiama
Nika jitoa ufahamu na familia tukagombana
Kisa penzi lako eti unanipenda sana
Kumbe ni delila, Samsoni umeninyoa
Sina nguvu ya mapenzi, siwezi kujiokoa
Haukuona future na mimi saa
Ulinipa nafasi kwa nini au
Ulitaka kupoteza wakati na mimi
Sielewi, ulikuwa ukimanishaga nini
Ulinisifia sana nilivyo kufanyia
Napiga nyao tano ulikuwa ukifurahia
Ukasema mimi, mwingine utaki kumsikia
Leo umeruhusu nyambafu, penzi kulivamia nimeamini
Hakuna chakudumu chini ya jua
Nilikuwa mdogo fikra, saivi nimeshakua
Nazidisha dua, nisijisahau
Nizidi kutusua, maana mapenzi bila pesa
Hakika ya naua
Mjinga ni mimi, kuamini naweza kukubadilisha
Mjinga ni mimi, kuamini ndo basi nimesha fika
Nikajiridisha eti kunguru anafugika
Leo amenikomoa hadharani, nimebaki na dhalilika
Siwezi kutukana, nitakuwa nakufuru
Shangazi alinifunza, kilakitu nishukuru
Nisijifunge, nafsi yangu niweke huru
Kwenye giza itangaa, itakuwa kama nuru
Ingawa kuta ina nizomea, kila ni napopita
Maana ulivyo niigizia, umemzidi na lupita
Ingelikuwa movie, si oscars ungeshinda
Punguza kunitag au, block itahusika
Sina kovu, naamini haukuwa fungu langu
Munda sahihi ukifika, nitapata ubavu wangu
Atakae nipenda, na kuthamini uwepo wangu
Yani zaidi ya rafiki, atakuwa nipacha wangu
Sai na focus na my life, nimesha move on
Naishi kisela, umakini single boy
Niko salama, and this is my last call
Nimeji cut off kwa hiyo list, ya your convoy
Usini husishe tena, and please, leave me alone
If you don't love somebody, stay real
If you hate me, I hate you too
It's over
Mtu umakini
Emmo B on this track