![DEAR HIPHOP](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/08/9f47b714a921400f82e06baaa80d8696_464_464.jpg)
DEAR HIPHOP Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Baada ya miezi kutimia, duniani nikafika
Mama ali furai na kunipa jina
Samuel, yule bibilia
Baba ka tafsiri, ujio wangu ni wenye nia
Hai kupita muda, mama kaniacha
Kwa shangazi, mwatate nimekulia
Ni kiwa darasa la tatu, hip-hop uka nifuata
Ni ka anza kuchana, uka niahidi mambo mengi nitapata
Kote nitatamba, hela zita nifuata
Tanipa nyumba na familia
Street wanangu watafurahia
Na mambo mengi sawia, wanahabari watani pigia
Kila mara uta nipigania
Tena, uka nipa mfano wa kuigizia
Kaalamoto, kaka sungura
Na Mr. Blue wa Tanzania
Uka nipa jina Flame G, Yahudii
Kwa ubunifu, mtu makini
Styles a Joe Makinii
Nami hip-hop, ni kakuamini
Uka mtuma Young Freezy, muelekezi wamini
Studio nikafika, kutema madini
Chezambali, wakapokea mashabiki
Uka niongeza marafiki, wengi wakawa wasaliti
Kunitupia dongo, wasanii wanafiki
Ila haijalishi, leo
Hip-hop, nimekuja ni na maswali
Hivi, mbona siaminiki
Kwa radio na TV, sipigiki
YouTube kumegoma, views laki hazifiki
Nieleze, nini maana ya hiki
Dia hip-hop
Siku hizi hauonekani, unakuja kibahati
Haukusema, StevO, Simple Boy, uka mpandisha chati
Juliani, uka mnyanganya nafasi
Sungura umemumpa crown
Papa Jones, kawa best rapper Nigeria
Na sio ligi ya Kenya
Madhare Youths, wana hit
Breeder Hashikiki
Trio, namuona ana Tessa Hilli jiji
Number 8, simu hashiki
Sijui kwa nini
Dia hip-hop
Imesha pita miaka nane
Na nyash alisema ili nitoke
Labla anitukane, ndo nijulikane
Kote, mpaka kitale
Nifukuze msoto, wanangu wale kidogo
Kwa pamba kali za mitoko
Madanga walete shobo
Ujana maji yamoto
UKichelewa kuja, walahi
Tazikwa nkiwa msoto
Dia hip-hop
Yeah, we miss you
Umepotea sana
Wenzako kina genge tone wanachezwa
Uh, kapuka wamechezwa
Sisi ndo tumebaki tu
Uh, yeah
Uh, popote kambi
Ulinambia ukiniweka nitatusua
Urapper nilioutegemea
Haujanizalia matunda
Sijui umelewa
Maana unayumba
Nieleze basi kama nikuache nibane pua
Nimekumbuka
Si kaalamoto
Barua alisha kuandikia
Miaka imepita
Majibu tunasubiria
Au mjumbe alipotea njia
Hai kukufikia
Tupe taarifa basi
Ni wapi ulipofikia
Dia hip-hop
Ama unashauri ni chane kizungu
Kama barak jacuzzi,
Ndo ni raisishe mambo
Na mimi street ni ishi goodi
Nakesha sana mishe zangu na piga usiku kama bundi
Asante fans
Wanaoipenda sauti na mashairi yenye ufundi
Dia hip-hop
Nieleze
Ni wapi alipo bamboo
Corel Mustafa
Kwanza R.I.P. kwa DJ Yosh na Esir
Uh, yeah
We still need you
Dear hip-hop
Yahudii
RockillersAfrica