![I Miss You](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/11/8c5dbddf58e6444e9c6d863ccd187be1_464_464.jpg)
I Miss You Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
Yahudii
Hello
Hello babe
Hello
RockillersAfrica
Nimiezi mingi imepita toka wife ulipo ndoka
Inamaana hauniwazi au ndo basi ulisha ni choka
Hupokei simu zangu na ukipokea hauongei
Haujali hisia zangu umenikaba sipumui
Nipo hoi tena mlevi sijiwezi
Afya imedhohofika chakula kenywani hakishuki
Maumivu ya mapenzi ananitesa
Usiku si upati usingizi
Na kila nikijaribu taswira yako inanijia
Naiona sura yako elivyojawa na majonzi
Nidhahiri moyoni unakidonda
I'm sorry, si kujua
Ni mimi nilifanya ukanikimbia
Ubize wangu nikiamini life na kutafutia
Nikakuacha mpweke ndani bila kuhudumia
Sikujali hisia zako ukashindwa vumilia
Ukaamua kuondoka bila yaku niambia
Uminiacha njia panda sina pakukimbilia
Sioni furaha, sometimes machozi ninalia
Sina wakunifuta, maumivu yakinizidia
Ni zaidi ya mateso yani bora kujifia
Nimejitwika mzigo miba jangwani nimepotea
Mawazo mengi hadi nashindwa kujiongeza
Nachukia kubale, maana mentali sipo sawa
Aibu imeniva, nalewa kila mara
Majirani hawaniheshimu, wananiona kama fala
Kutwa na zurura, nikitafuta dawa
Wakuniponya ni wewe, please fanya urudi mama
Cheki navyo konda, nasiko productive kama zama
Boss amenichoka, anahisi nimekuachawa
Muda mwingi kazini nautumia kukuwaza
Nahisi nimechanganyikiwa
Au labda umesha pata mwingine
Anakutunza vyema, menisahau pengine
Basi niweke wazi, moyo wangu uridhike
Maana unavuja damu, naweza nikafa mie
Niliekukata utepe, utamu na ujuwa mimi
Nisingeweza chiti, kwako nilipata pisi
Ukweli ni kazi zilifanya nichelewe
Na wala sio kingine, naomba mpenzi unielewe
Na kumiss dia, na miss vitu vingi ulivyonifanyia
Na miss mapocho pocho ulokuwa ukinipikia
Na kupenda sana, na siwezi bila wewe
Ukweli unanipa pressure, nafsi yangu unaitesa
Nikiwa road, na jipata naongea mwenyewe
Akili umeivuruga, kilichobaki ni mifupa
Kama msukule, umenifuga kwenye chupa
Shoga zako wana kuulizia, na wao wamekumiss pia
Ulivyo kuwa mcheshi na mkarimu, nafasi yako kwetu niya muhimu
I promise, ukirudi kila weekend, takupeleka rhumba
Takupeleka home, ni kutambulishe mchumba
Wazazi watubariki, tusipatwe na kasumba
Kwa ajili yako, nafsi yangu nipo tayari kuipoteza
Takutunza kama mboni, sito kuchezea
Mapenzi yakomae, nitazidisha na mbolea
Huba lako ni utamu baby, nimekolea
Baby, come home
We miss you, for real
I love you so much, you know
I love you
Emmo B on the track