![Kumbukumbu ft. Melanie Anthony](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/18/8e495a96788649498a20ec312dcbd806_464_464.jpg)
Kumbukumbu ft. Melanie Anthony Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Kumbukumbu ft. Melanie Anthony - Paul Clement
...
Mimi ni Kumbukumbu, nimekukumbusha mambo mengi,
Mengine mazuri na mengine mabaya.
Nimekukumbusha mambo mengi yal'okuvunja moyo,
Na mengine yalitonesha vidonda ndani ya moyo wako.
Kuna siku nilikuvuruga kichwa nia yangu ujiue, nikakupa msongo wa mawazo nia yangu upotee.
Nimekukumbusha mambo ambayo hukutaka kukumbuka, nikalazimisha uyakumbuke yakakuletea shida.
Nimekukumbusha watu ambao hawako duniani tena, ninajua uliwapenda sana nilitaka tu uumie
**Chorus**
Ila leo nakukumbusha ya kwamba (Mungu ni mwema, Mungu ni mwema)
Ila leo nakukumbusha ya kwamba (Mungu anakupenda, Mungu anakupenda)
Ila leo nakukumbusha ya kwamba (Anakuwazia mema, anakuwazia mema)
>{repeat Chorus}<

(interlude)
Mimi Kumbukumbu nilikuumiza leo niko hapa ninakukumbusha (Mungu ni mwema, Mungu ni mwema)
Ila leo nakukumbusha ya kwamba (Mungu anakupenda, Mungu anakupenda)
Ila leo nakukumbusha ya kwamba (Anakuwazia mema, anakuwazia mema)
Umepitia mengi tena magumu ila niko hapa kukumbusha (Mungu ni mwema, Mungu ni mwema)
Ila leo nakukumbusha ya kwamba (Mungu anakupenda, Mungu anakupenda)
Ila leo nakukumbusha ya kwamba (Anakuwazia mema, anakuwazia mema)
Mimi ni Kumbukumbu leo niko hapa ninakukumbusha (Mungu ni mwema, Mungu ni mwema)
Ila leo nakukumbusha ya kwamba (Mungu anakupenda, Mungu anakupenda)
Ila leo nakukumbusha ya kwamba (Anakuwazia mema, anakuwazia mema)
Ila leo nakukumbusha ya kwamba (Mungu ni mwema, Mungu ni mwema)
Wapo watu wengi wanakuchukia ila leo nakukumbusha (Mungu anakupenda, Mungu anakupenda)
Anakuwazia mawazo mazuri ya kukupa tumaini (Anakuwazia mema, anakuwazia mema)
••Boomplay lyrics by Dannie Nimrod••