Jina la Yesu Ft. Frida Felix Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Jina la Yesu Ft. Frida Felix - Paul Clement
...
Lina nguvu×3
Jina lipitalo majina yote
Duniani na mbinguni
Tena lenye mamlaka yote
Humu ulimwenguni
Limeinuliwa Juu ( Jina la Yesu) eeh×2
Jina lako Yesu×2
Linauweza Aaaah×2
Kila goti litapigwa(kwa jina la Yesu)
na kila ulimi utakiri(kwamba we ni Bwana)
oooh(Yesu Yesu Yesu Yesu Yesu....)
Ninakuita usiyeshindwa
kifo na kaburi ulivishinda
nguvu zako zipo juu ya dunia yote
umekirimiwa jina lenye uweza wote
nguvu ni zako,ufalme ni wako
mamlaka ni yako hata milele
katika wewe tunapata ushindi ushindii ushindii
(Jina lako Yesu) ×2
(lina uweza aaah)×2
(Jina lako Yesu)×2
(lina uweza aaah)×2
Limeinuliwa juu(Jina la Yesu) eeeh
Juu ya mamlaka yote(Jina la Yesu)
Juu ya nguvu zote(Jina la Yesu)
Jina lipititalo majina yote(duniani na mbinguni)
tena lenye mamlaka yote(humuu ulimwenguni)
limeinuliwa juu(Jina la Yesu)
limeinuliwa juu(Jina la Yesu)
limeinuliwa juuu(Jinaa aaaaaaaah ooh eeeh eeeeh ooh jinaaa)