Moyo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Moyo - Paul Clement
...
baba uniokoe moyo ponya moyo
baba uniokoe moyo ponya moyo
moyo wangu umeumia na hauna pakukimbilia
wewe tu nakuanglia jina lako nikiliitia
uponyaji wako utanifikia na wala sito jutia
madokta wanaponya mwili wengine wanaponya akili ila wewe unaponya yale ya Sirini
baba uniokoe moyo ponya moyo
baba uniokoe moyo ponya moyo
moyo huu na uleta kwako juu ya madhabahu, yako nyosha huo mkono wako
uniguse na nguvu zako ooh nitakaa upande wako ooh
Kama vile mtoto wako, ooh kwingine nilisha umia ambapo nilitegemea na kwako nakimbilia
uniponye×2
chorus
na kwako nakimbilia uniponye