![Nishakupenda](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/07/7c4677d5304044a0a226e79fbe248bc9_464_464.jpg)
Nishakupenda Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
Nishakupenda - Crown Yo
...
Yeahhh
Crown yoo
mhhh
Na makopa kwangu kwako hayajaficha,
haijawa less,
Hata utake nini vyote nitakupaa
FOREVER BABY.
Nakupenda milele kamwe
hutojuta wangu kipenziii
Moyo wangu ubebe ndo nimekupaa siwezi change,
Na mashoga zangu wananisema kwamba nimependa wapiii??
Kama bigijii nimewatema,
Hata wapige fatakiii.
Aah...Najua hauna hela,maisha kombolela
Ipo siku utabutua lako eenhh
Sisi tule mapera sitokuomba hela
Mhh asalalee!!
Hayaa mapenzi ya Leo ka sio ya Jana
Unayempenda kutoka moyoni wenzako wanawaza mtaachanaa.
Hayaa mapenzi ya weee Leo ka sio ya Jana
Unayempenda kutoka moyoni wenzako wanawaza mtaachanaa.
Ndo nini heee,hata uwe huna hela Nishakupenda hivyohivyo
Na hata uwe msela,Nishakupenda hivyo hivyo.
hata uwe huna hela Nishakupenda hivyohivyo
Na hata uwe msela,Nishakupenda hivyo hivyo.
Nafumba macho utazame mboni,haya sioni hata kidogooo
Tufunge mlango twende zetu sokoni,Kule kibaoni mhh.
Vinyanya masalu nachukua, hata vikabichi nachukua.
Viutumbo vya kuku nachukua,aee
Najua unatamani nivae kama Waleee
Tutoke twende bichi tupite zetu kuleee
Najua unatamani nivae kama Waleee
Tutoke twende bichi tupite zetu kuleee
Twende kisimanii
Nikachote maji ya ndaniii
Kisha turudi zetu ndanii
Hayaa mapenzi ya Leo ka sio ka ya Jana
Unayempenda kutoka moyoni wenzako wanawaza mtaachanaa.
Hayaa mapenzi weee ya Leo ka sio ya Jana
Unayempenda kutoka moyoni wenzako wanawaza mtaachanaa.
Ndo nini eehh
Hata uwe huna hela Nishakupenda hivyohivyo.Nakupenda weweee
Na hata uwe msela,Nishakupenda hivyo hivyo.I love you weee
Mwenzio nakupenda wee
Mwenzako nakupenda weee.