![Mbali Nawe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/15/297bc5d992fc4f3085bd8831958a7456H3000W3000_464_464.jpg)
Mbali Nawe Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2024
Lyrics
Mbali Nawe - Crown Yo
...
mhh
crownyo
mhhhhhheeeee
yeiyeeee, mhhh
nauli chozi langu mm linavuka mpaka mipaka
ona mwenzako nakonda mpaka mifupa,
natundu langu la moyo km pakacha
sawa umeniacha
ndio messenge zangu una zibluu tikii
me mwenzako nitakufa mana bila ww me nimezidwa sifiki
ona mpaka nimepatwa kizunguzungu Sili sinywi
maji mwenzako machungu
unanivura yani aki amungu nimebaki mm mwenyewe,
kwenye meme zako naziona wasap unaposti picha Majungu kibao bala nimekonda cn mwelekeo,
inaniuma wewe
mama alinigunza niwe mnyenye kevu,
kwenye haya mapenzi kuna maumivu siosilii umenipa mateso
yani weewe