![I Love You](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/22/f91baaa87d8d4de88fd7b2bd4d06fc6cH3000W3000_464_464.jpg)
I Love You Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2024
Lyrics
I Love You - Crown Yo
...
Eeeh crown yoyo
Aaa eeh
Naanza kusema kwanz a e i kiutani utani
Na we ndo upo na me twende chumbani unipe vitu flani iiieee baby una vidimpo flani mwenzako nikiviona napagawa tufunge ndoa kanisani nyuma tufatwe na machawaaa
Ukiwa unarud nyumbani beba na vishombo kwa ndani hata wakisema hatuendani kwani wao inawahusu nini
Hata wanipige mawe mm kwako sibanduki wewe vurugu vurugu me napenda we yote naona sawa
Aaaeeeiii
Chorus
Aaaaah ilove you ( me nakupenda wewe )
Aaaah i love you. (Na kwako sibanduki milele
Aaaaah i love me nimekupenda wewe x2
Baba mm nakuomba nielewe