![Mama watoto](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/24/2efdf5fe85234c739d9eec157eff7506H3000W3000_464_464.jpg)
Mama watoto Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
Wee
Wee
Ndio unanipa mi furaha
Ukiondoka hiyo kwangu karaha
Napenda nikuone kila baada ya saa
Huna tamaa hata wakimwaga chapaa
Mtoto mzuri una macho angavu
Ngozi laini wala sio chakavu
Tukiwa chumbani tuna make love
Sikwachi asilani wa kushoto ubavu
Basi njoo nikumenye kama parachichi
Nipenye kwa ndichi
Kitanda ki henye ni kwichi kwichii
Kitanda ki henye ni kwichi kwichii
Wewe ndio mama watotooo
Napenda unizalie watotoooo
Tuwe wote kwenye baridi na jotooo
Usinikimbie kwenye msotoooo
Usinikimbie kwenye msotoooo
Wewe ndio mama watotooo
Napenda unizalie watotoooo
Tuwe wote kwenye baridi na jotooo
Usinikimbie kwenye msotoooo
Usinikimbie kwenye msotoooo
We ndio mama watotooo
Napenda unizalie watotooo
Mi na we ka kulwa na doto
Tukitembea kulia kushoto
Mapenzi sumaku,yamenivuta ka chuma
Ote usiku, upepo unapo vuma
Washakunaku, wakituona wananuna
Hatujishuku, wala haturudi nyumaa
Baby girl! Nakupenda leo hata kesho
Baby girl! Wewe kwangu ni mtu special
Usinikimbie kwenye msotoooo
Usinikimbie kwenye msotoooo
(Usinikimbie kwenye msotoooo)
(Usinikimbie kwenye msotoooo)
Wewe ndio mama watotooo
Napenda unizalie watotoooo
Tuwe wote kwenye baridi na jotooo
Usinikimbie kwenye msotoooo
Usinikimbie kwenye msotoooo
Wewe ndio mama watotooo
Napenda unizalie watotoooo
Tuwe wote kwenye baridi na jotooo
Usinikimbie kwenye msotoooo
Usinikimbie kwenye msotoooo