![Mwanangu sana](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/24/2efdf5fe85234c739d9eec157eff7506H3000W3000_464_464.jpg)
Mwanangu sana Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
Kwenye shida kwenye raha tunapendana
Mara moja moja naye tunagombana
Ila kamwe hatujawaza kutengana
Ni pisi yangu ,ni bebe yangu
Harafu pia mwanangu sana mwanangu sanaa eeeeeyaaaaahh
Mwanangu sana ,mwanangu sana eeeeyaaahhh!
Mwanang sana mwanangu sana eeeeeyaaaahh
Mwanangu sana mwanangu sana eeeeeyaaaahh
Hata nikishikwa na polisi
Baby wangu anaweka dhamana
Nikiwa nae usijaribu kuni diss
Maana mnaweza kugombana
She is my thug
She is my gang (gang gang)
She is my thug
She is my gang, (gang gang)
We living thug life, like pac (baw baw baw)
Girl of my life, like that
Kwenye shida kwenye raha tunapendana
Mara moja moja naye tunagombana
Ila kamwe hatujawaza kutengana
Ni pisi yangu ,ni bebe yangu
Harafu pia mwanangu sana mwanangu sanaa eeeeeyaaaaahh
Mwanangu sana ,mwanangu sana eeeeyaaahhh!
Mwanang sana mwanangu sana eeeeeyaaaahh
Mwanangu sana mwanangu sana eeeeeyaaaahh
Siwezi ata kidogo kum umizaa
On my life yea she is my supervisor
Chochote anachosema nam sikiliza
Offcourse yea she is my advisor
She like!
Trapper kumbuka kusali
Trapper tafuta salary
Trapper usicheze kamari
Trapper usinywe vikali
Nampenda sana penda sana
Huyu msichana msichana