Nasty Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
Yeeeyeeyee
(Trapper trapper)
(Drey)
Kiuono chake ni chembamba
Akikatika cheni cheni kiunoni
Nikiwa nae anani bamba
Anani kiss mdomoni, shingoni
Kitandani sio mshamba
Yupo fresh kama pisi ya kingoni
Anani chezesha jalamba
Trapper trapper siskiii mi sioni
Uuuuuh yee
Napenda akini touch
Napenda akini touch
Nasema simuachi
Nasema simuachii
Yeeh
Mtoto yupo nasty maze
Nasty maze
Mi nasema simuachii aseee
Achi asee
Mtoto yupo nasty maze
Nasty maze
Mi nasema simuachi aseee
Achi asee
Amenilewesha,ka ugoro
Usiku tukikesha,kwa godoro
Hapa tunavesha,hadi tommorow
Kama tuna shesha, kwa chochoro
Kwa chochoro
Kiuno kama nyigu, amekatika ka dondola
Nampiga pingu, nai cock bastola
Ndani ana bikini,harafu nje ana kijola
Ntamshusha chini,mtu asije kunipola
Mtoto mlaini
Nikichoma nyasi na mikasi
Namwagilia ndanii
Nampa kwa kasi mpaka basii
Kiuono chake ni chembamba
Akikatika cheni cheni kiunoni
Nikiwa nae anani bamba
Anani kiss mdomoni, shingoni
Kitandani sio mshamba
Yupo fresh kama pisi ya kingoni
Anani chezesha jalamba
Trapper trapper siskiii mi sioni
Uuuh yeee
Napenda akini touch
Napenda akini touch
Nasema simuachi
Nasema simuachi
Yeeeh
Mtoto yupo nasty maze
Nasty mazee
Mi nasema simuachii asee
Achi asee
Mtoto yupo nasty maze
Nasty mazee
Mi nasema simuachii asee
Achi aseee
Dreyy