- Genre:Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
Drey
Japo sina gari, unafanya navimba road
Penzi sio la serikali, haunitozi kodi
Na jinsi ulivyo shwari, girl una nice body
Harafu hauna habari, wamba wakibisha hodi
Wewe ni zawadi, maishani
Na ahidi , sito kuacha njiani
Shahidi, alie juu maanani
Waridi, unanukia chumbani
Nacho shukuru, umenipenda mi msela
Tena upo huru, unanipenda bila hela
Ni samehe babyboo, kama nikikukera
Penzi letu liwe juu, kama upepo na benderaa
Naomba usinichokeeee
Naomba usiondokeeee
Popote tuwe oteeeee
Wewe ndio unafanya nakua okayyyyy
Naomba usinichokeeee
Naomba usiondokeeee
Popote tuwe oteee
Wewe ndio unafanya nakua okayyyyy
Okayyyyyy
(Skrrrttt skrrrrt skrrrt)
Okayyyyyy
(Brrrrrrlllaah)
Okayyyyy
(Baww baww baww)
Wewe ndio unafanya nakua okayyyyy
Kigiza flan , tuwe ote tu mtaaani
Tu share earphone nakuskiliza ngoma flani
Za kutuliwaza na ku make make plan
Siji kuku umiza wala kukutoa moyoni
Girl you make me feel alright
Girl you make me feel so better
Come and hold me, hold so tight
Baby girl you make me feel so better
Ukivaa unapendeza, umeniweza
Najiuliza, nimiujizaa
Thanks jesus, (thanks jesus)
Kwa hii miujiza ,(kwa hii mi ujiza)
Naomba usinichokeeee
Naomba usiondokeeee
Popote tuwe oteeeee
Wewe ndio unafanya nakua okayyyyy
Naomba usinichokeeee
Naomba usiondokeeee
Popote tuwe oteeeeee
Wewe ndio unafanya nakua okayyyyy
Okayyyyyy
(Skrrrttt skrrrrt skrrrt)
Okayyyyyy
(Brrrrrrlllaah)
Okayyyyy
(Baww baww baww)
Wewe ndio unafanya nakua okayyyyy