Shangwe shangwe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Adamu aliumbwa edeni
Kwa kiasi akawa mpweke
Lakini mungu kaona si vyema
Akampa msaidizi hawa
Nyama katika nyama yangu
Mifupa wa mifupa yangu
Alitabasamu kisha akasema
Utaitwa mwanamke
Shangwe shangwe na vigelegele
Hili dhihirisho la ndoa takatifu
Agizo lake mungu
Muache wazazi muwe mwili moja
Muwe mbingu ndogo
Hekalu la mungu katika upendo
Nipo nanyi hadi mwisho
Mume mpende mkeo
Nawe mke mtii mumeo
Watoto watunzeni
katika njia iliyo ya mungu
Mibaraka yake awazidishie
Shangwe shangwe na vigelegele
Hili dhihirisho la ndoa takatifu
Agizo lake mungu
Muache wazazi muwe mwili moja
Muwe mbingu ndogo
Hekalu la mungu katika upendo
Nipo nanyi hadi mwisho