Liite Jina Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Wanafunzi wake yesu ndani ya chombo cha baharini,
Walipo songwa na mawimbi,walimlilia yesu,
Je mwalimu si kitu kwako kwamba sisi twaangamia,
Ndipo yesu alipo zikemea pepo,pepo zikatulia.
Liite jina la yesu majaribu yanapo kusonga,
Wapo wengi walo liita,wakapata rehema,
Katika shida na raha, wewe ita jina lake yesu,
Mizigo yako atabeba nawe utakuwa huru.
Batimayo wa timayo,yule kipofu na omba omba,
Alipo sikia habari,za kupita kwake yesu,
Akapaza sauti akisema mwana,wa daudi,
Unirehemu mimi nipate ona tena akapata kuona.
Liite jina la yesu majaribu yanapo kusonga,
Wapo wengi walo liita,wakapata rehema,
Katika shida na raha, wewe ita jina lake yesu,
Mizigo yako atabeba nawe utakuwa huru.