- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Sauti ya yesu,ingali yaita,inaita walo lemewa na dhambi,kwa upole mwingi anaita watu,anawasihi waje kwake.
Tazama amenyosha mikono yake,yesu aita mwanangu njoo leo,inatosha sasa,uko ugenini,njoo leo mwanangu njoo leo
Yeye awezaye yaliyo magumu,anaita walo lemewa na waje,kwa upendo mwingi anaita watu,anawasihi waje kwake
Tazama amenyosha mikono yake,yesu aita mwanangu njoo leo,inatosha sasa,uko ugenini,njoo leo mwanangu njoo leo
Akuita leo,rafiki mpendwa,njoo kwake upumzike kwa yesu,mambo ya dunia hauta tamani,yeye atakuweka huru
Tazama amenyosha mikono yake,yesu aita mwanangu njoo leo,inatosha sasa,uko ugenini,njoo leo mwanangu njoo leo.
Similar Songs
More from Roysambu Young Adults Choir
Listen to Roysambu Young Adults Choir Sauti Ya Yesu MP3 song. Sauti Ya Yesu song from album Nitakwenda ft Kuwa na Yesu is released in 2023. The duration of song is 00:05:25. The song is sung by Roysambu Young Adults Choir.
Related Tags: Sauti Ya Yesu, Sauti Ya Yesu song, Sauti Ya Yesu MP3 song, Sauti Ya Yesu MP3, download Sauti Ya Yesu song, Sauti Ya Yesu song, Nitakwenda ft Kuwa na Yesu Sauti Ya Yesu song, Sauti Ya Yesu song by Roysambu Young Adults Choir, Sauti Ya Yesu song download, download Sauti Ya Yesu MP3 song