Mzuri sana Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Bwana ni nani aliye kama wewe Mtukufu
Katika sifa njia ya uzima wa milele
Yes hallelujah
Wewe Bwana ni Mtakatifu
Mwenye nguvu na uweza wote
Matendo yako ni makamilifu
Yashangaza dunia yote
Wewe ni Bwana wewe Bwana ni Mtakatifu
Mwenye nguvu na uweza wote
Matendo yako matendo yako
Makamilifu ni makamilifu
Na yashangaza yashangaza dunia yote
Mlimaaa
Mlima Sayuni ni mji wako mzuri
Watakatifu
Watakatifu hapo tunakutuza
Tunakupa sifa
Tunakupa utukufu heshima na sifa
Sifa zako
Sifa ni zako
Sifa ni zako
Umzuri sana oooooh
Umzuri sana ninakuimbia
Umzuri sana umetenda mema kwangu
Umzuri sana Yesu ninakusifia
Umzuri sana hakika wewe mwema Kwangu sana umzuri sana ooh Ninakuimbia
Umzuri sana wewe mwema kwangu Yesu umzuri sana
Katika bonde la uvuli wa mauti Bwana
Ukaniokoa ukanivusha kwa mkono wako Bwana
Umenirejesha ndani ya nyumba yako
Umenifanyia sehemu hemani mwako
Umeniweka Nguzo langoni mwako
Na ndio maana nimejawa
Sifa zako moyoni
Umzuri sana katikati ya mataifa
Umzuri sana wewe umetenda mema
Umzuri sana wasamehe na maovu yetu
Umzuri sana Yawhe eee
Umzuri sana ndio maana ninakuimbia
Umzuri sana umeniokoa
Umzuri sana wasamehe dhambi na Maovu yangu
Umzuri sana
Katika huo mlima ambao Kristo Ameketi
Mlima Sayuni ni mji wako mzuri
Watakatifu yeeeee
Watakatifu hapo tunakutukuza
Tunakupa sifaa
Tunakupa utukufu heshima na sifa
Sifa ni zako sifa ni zako
Katika huo mlima
Mlima sayuni ni mji wako mzuri watakatifu wako tunaaa watakatifu wako tunakutukuza
Tunakupa sifa Tunakupa utukufu heshima na sifa
Sifa ni zako
Sifa ni zako
Sifa ni zako
Sifa ni zako
Sifa ni zako sifa ni zakooo
Sifa ni zako ooo