Nishike Mkono ft. Francis Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Bwana Mungu
Niko mbele zako
Kuna jambo
nataka niseme nawe
Mtakatifu Bwanaaa
Duniani umeniweka
Ili nikuabudu
Niyafanye mapenzi yako
Lakini kuna mambo yanisonga sana
Yasimama mbele yangu kama ukuta wa Yerikooo yeriko yeriko yeriko oooh
Nishike Mkono Bwana Nishike mkono
Nivuke nifike kwako
Nishike Mkono Bwana Nishike mkono nivuke nifike kwako
Siwezi kufika bila wewe
Maana siwezi kufika bila wewe
Kwako Bwana Yesu
kuna ushindi wa milele
Ndani ya damu yako na
jina lako linaweza kufungua
vifungo vyote vya shetani
Hivyo nasimama
Kwa ushindi wako Yesu wako Yesu
Nikae kwako kwa nguvu zako
Katika siku yako
Milele nikifurahia
Utamu wa mapenzi yako
Ooh Nishike
Nishike Mkono Bwana Nishike mkono wewe ngome yangu
Nivuke nifike kwako
Nishike Mkono Bwana Nishike mkono
Nivuke nifike kwako
Mimi siwezi peke yangu
Siwezi kufika bila wewe kufika bila wewe
Baba yangu Yesu
Maana siwezi kufika bila wewe kufika bila wewe
Msaada wangu wa karibu Bwana
Siwezi kimbilio langu kufika bila wewe nishike Mkono Bwana Yeah maana siwezi kufika bila wewe kufika bila wewe nakuhitaji Bwana
Siwezi bila wewe kufika bila wewe maana siwezi bila wewe Yesu kufika bila wewe