Kwanini nidhikike Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ooh ooh
Hello God
Nimekuja kugundua
Shetani anatuchezea
Haki zetu katuibia
Kila siku kutuparamia
Kaleta dhiki
Mara hiki
Mikikikiki
Unafiki
Kwa marafiki
Mambo hayashikiki
Yesu alikuja kwetu
Tuwe na uzima kisha
Tuwe nao tena
Kwanini tudhikike?
Magonjwa alichukua
Shida zote alichukua
Umaskini alichukua
Tabu zote alichukua
Kwanini nidhikike
Magonjwa alichukua
Shida zote alichukua
Umaskini alichukua
Tabu zote alichukua
Kwanini nidhikike
Ooh ooh oh ooh
Ina maanisha kama tusiposimama eh ndugu
Ndani ya Neno lake Bwana hatutaziona eeh ndugu
Fadhili zake kwetu hata kiama ee ndugu
Ndio maana wanakufa kufa
Wengine wanaumwa umwa
Wapendwa wamechoka choka
Hafai hafai hafai hafai
Kataa mwana mwana wa Mungu
Kuteseka mara ya pili
Magonjwa na maradhi
Hakika si fungu lako
Yesu alikufa tazama
Alifufuka tazama
Ili utawale tazama
Kwanini udhikike?
Yesu alikufa Tazama
Alifufuka tazama
Ili utawale tazama
Kwanini udhikike?
Magonjwa alichukua Yesu
Shida zote alichukua Yesu
Umaskini alichukua Yesu
Tabu zote alichukua Yesu
Kwanini nidhikike
Magonjwa alichukua Yesu
Shida zote alichukua Yesu
Umaskini alichukua Yesu
Tabu zote alichukua Yesu
Kwanini nidhikike
Kwanini nidhikike