Faraja ya Moyo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Si nafsi yangu iliyo na nguvu
Wala roho yangu iliyo niokoa
Bali ni wema wako na rehema zako
Ndani ya maisha yangu
Kwenye safari yangu
Najua sistahili japo kufungua
Kamba za viatu vyako
Nakuomba Bwana
Roho wako mwema
Akae ndani yangu
Baba
Ili nikuabudu nikuamini nikutumikie nikutumikie baba
Baba yangu u ili nikuabudu baba yangu Ni kuamini nikutumikie wewe
Nikutumikie baba
Maana
Wewe ni faraja ya moyo wangu kimbilio langu kimbilio katika shida Zangu
Maana wewe
Wewe ni faraja ya moyo wangu Kimbilio langu Kimbilio katika shida Zangu
Kwahiyo baba
sitakuacha sitakuacha sitakuacha wakati wote sitakuacha
Nitakuwa nawe wewe
Baba
Sitakuacha sitakuacha sitakuacha wakati wote sitakuacha
Nitakuwa nawe wewe
Wengine wanataja magari
Wengine wanataja farasi
Wengine wanataja fedha
Wengine wanataja elimu zao
Wengine wanataja ndugu
Wengine wanataja viongozi wao
Wengine wanataja kazi
Wengine wavitaja vyeo vyao
Lakini mimi Bwana nitakutaja wewe
Afya mifupani mwangu
Raha moyoni
Lakini mimi Bwana
Nitakusifu wewe
Mungu
Niimarishe Ili nikuabudu Niongoze nikuamini nikutumikie nikutumikie
Baba
Baba yangu u ili nikuabudu baba yangu nikuamini nikutumikie wewe
Nikutumikie baba
Maana
Wewe ni faraja ya moyo wangu Kimbilio langu kimbilio katika shida Zangu
Maana wewe
Wewe ni faraja ya moyo wangu Kimbilio langu kimbilio katika shida Zangu
Kwahiyo baba
Sitakuacha sitakuacha sitakuacha
Wakati wote sitakuacha nitakuwa
Nawe wewe
Baba
Sitakuacha sitakuacha sitakuacha
Wakati wote sitakuacha
Nitakuwa nawe wewe