
Tatiana Lyrics
- Genre:Reggae
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Tatiana - Christian Bella
...
Anadeka deeka
Anadeka deeka mupeenzi,
Anadeka deeka Tatiana X2
(CBO)
Ongeza sema neno moja uwaogopeshe,
We mtoto mzuri uwakomeshe,
Tabia nzuri ziwapoteze tatiana,
Waogope mashemeji uwakimbize,
Tabia zao zisikutishe,
Kaa ukijua nakupenda Tatiana,
Ayo macho yaako baby,
Uzuri wako babyy,
Na lafudhi yako yanichanganya Tatiana,
Acha nikubebe bebee,
Penzi lisiteetereke,
Wapate mapeepee,
Tusimame kidetee,
Penzi letu linawatesa,
Penzi letu linawatisha,
???? Tatiana,
???? Tatiana,
Oya ebee bebee(Anadeka deeka, Anadeka deeka mupenzi),
Tatiana bebebebebe( Anadeka deeka Tatiana),mmmh ah
Oya bebe bebe (Anadeka deeka) Bebe bebe (Anadeka deeka mupenzi) Tatiana bebe bebee (Anadeka deeka Tatiana)mmmh mmmmmh
Wapate moto tuwazike fresh,
Nikikudekeza wanapata presha,
Kicheko chako kinatoka fresh,
Na we ni freesh wape preshaa,
Tatiana niombee,
Nikikosea unisamee,
Madem fake wapate presha,
We ni queen na unatosha,
Wakikurubuni wapuuze,
Nateena usiwaogope,
Ujue niwaongo,
Shida yao ni tuachane,
Sema neno love liwaogopeshe,
Sauti nyororo halina stress,
Basi nipe kiss tuwapoteze tatiana,
Penzi letu linawatesa,
Penzi letu linawatisha,
???? Tatiana,
????Tatina,
Oya ebee bebee(Anadeka deeka, Anadeka deeka mupenzi),
Tatiana bebebebebe( Anadeka deeka Tatiana),mmmh ah
Oya bebe bebe (Anadeka deeka) Bebe bebe (Anadeka deeka mupenzi) Tatiana bebe bebee (Anadeka deeka Tatiana)mmmh mmmmmh