Christian Bella Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Christian Bella - Christian Bella
...
Blackhooo 5g CBO!
Kila ukweli sio lazima usemee!
Ikizidi sana lazima ufungukee!
Nilikuwa dhahabu mikononi mwa kipofu
Hakujua dhamani yangu
alinidharau
Udongo wa mfinyanzi aridhini
Kujua dhamani yake waulize wafinyanzi Nishapata pacha wangu wa milele
Katambua dhamani yangu
tunapendanaaaa!
Pacha ni moja ya madini
Mola baba alificha mbinguni
Umeshushwa chini ili uwe wangu tuuu
Sauti tamu kama nyoya linachokonoa sikio
Mikono yako inanimaliza homa bila dawaaaa
Ndo maana nakupendaga sanaa
Mi nakupenda baby aah baby
Nimepata pacha ujue
Mi nakupenda baby aah baby
Aah pacha pacha wee
Mi nakupenda baby aah baby
Raul mashubedi modern fashion
Nani mwenye kipimo cha mapenzi alete
Nipime watu wote waone
Yes mimi, ju mapenzi ananipaga mimi
Mimi mimi ...
————
————
————
Pacha pacha wangu we
Mshumaa bei rahisi
Unaweza unguza nyumba ya mabilioni
Chungana na maneno ya wapambe
Yanaweza haribu penzi letu
Mtoto wa mama eeh
Si unajua fresh (Fresh fresh fresh)
Nakupendaga sana, mwana mama eeeh
---
---
Bado pacha usisahau
Mi nakupenda baby aah baby
Nimepata pacha ujue
Mi nakupenda baby aah baby
Aah pacha pacha wee
Mi nakupenda baby aah baby
Bill Gate Katunzi, mzamili
Nani mwenye kipimo cha mapenzi alete
Nipime watu wote waone
Yes mimi, ju mapenzi ananipaga mimi
Mimi mimi ...
----
----