![Natamani ft. Saraphina](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/25/6a1743145de94c158783bb3473536c8b_464_464.jpg)
Natamani ft. Saraphina Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Natamani ft. Saraphina - Christian Bella
...
Unapeanda kununa unapenda kuzira kila saa ooh babyy
Sio kwamba napenda kununa napenda kuzira kila saa ooh baby yeah
jua upo moyoni kwangu na ingali ingekuwa moyo ina mlango ningekufunguliaa ungejiangaliaa
upo moyoni kwangu na ingali ingekuwa moyo una mlango ningekufunguliaa ola ninacho hitachi ndoaa .
ata mi natamani mi natamani ndo ifungwe
tuwalete majiarani na marafiki wote wafikee
mi natamani mi natamani ndoa ifungwe
tuwalete majirani na marafiki o e uyeee
utanioa kweli ama unaniongopea, unanichezea,
uu baby ntakuoa kweli so kwamba nakuchezea, ila ngojeo a
utanioa kweli ama unaniongopea, unanichezea
uuu baby ntakuoa kweli so kwamba nakuchezea ila ngojea ( ma sheli )
yananiumiza kichwa maneno ya waimba taarabu wanasema unanichezea,
ukichoka utanikimbia ooooh
maneno yao sio msaafu, maneno yasilete hitilafu, ukanikimbia mi ntalia ooooh
mmmh e hee
nakupenda nawew wanipenda hasa kwanini hutaki ndoaa
uuuh huuuuu nakupenda najua unanipenda piaa ucjar ntakuoaaa
ata mi natamani mi natamani ndoa ifungwe tuwalete majirani na marafiki wote wafikee
mi natamani mi natamani ndoa ifungwe
tuwalete majirani na marafiki o e uyeee
utanioa kweli ama unaniongopea unanichezea
a uu baby ntakuoa kweli so kwamba nakuchezea ila ngojea
utanioa kweli ama unaniongopea unanichezea
a uu baby ntakuoa kweli so kwamba nakuchezea ila ngojea sheli eeh