
Nashindwa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Nashindwa - Christian Bella
...
Iyee eeh Mamiee
Iyee We ndo mamii ee
Iyee Mi ndo dadii ee
Iyee eeh Mamiee
Iyee
We ndo mamii ee
Iyee
Mi ndo dadii ee
Mie mie mie
Mie mie mie mie
Mie mie mie
Mie mie mie mie
Mbona kama unanionea
Haya mapenzi gani kila siku lazima nibembeleze
Lini sasa mpenzi wangu na we utanibembeleza?
Na mimi nisikie unavyosikiaga nikikubembeleza
Ona kaneno ‘mapenzi’ kaneno kafupi
Kana mambo mengi unaempenda atakuzingua
Si bora angesema hata mapema ameniacha nimezama
Kutoka sasa..
Nashindwa (shindwa)
Nashindwa (shindwa)
Ale kutoka mimi
Nashindwa (shindwa yeye)
Aaah aaah
Nashindwa (shindwa)
Sijui nifanye nini
(Nashindwa) mama weeeh
Angejua kabisa ninavyompenda
Sijawahi kupenda ndo yeye wa kwanza ananizuzua
Si bora angesema hata mapema
Ameniacha nimezama
Kutoka sasa…
Nashindwa (shindwa)
Nashindwa (shindwa)
Kutoka mimi
Nashindwa (shindwa yeyee)
Aaah aaah
Nashindwa (shindwa)
Sasa nifanye nini
(Nashindwa) mama weeeh
Julilala lalaa
Mie mie mie (mie)
Mie mie mie mie (mimi)
Mie mie mie (mimi, mimi)
Mie mie mie mie
Mie mie mie (mie)
Mie mie mie mie (mimi eeh)
Mie mie mie (mimi, mimi, miee)
Ghafla tu anafunga virago
Namuuliza hataki kusema tatizo ni nini
Sijui kuna shida gani
Haya mapenzi lawama kila siku mimi
Tulia mama mi ni wako nakupenda sana
Usihangaike, usibabaike
Na wale maadui nataka wabaki na aibu
We ni wangu, mi ni wako mpenzi wangu
Embu punguza maringo na mapozi nakupenda
We ni wangu, mi ni wako mpenzi wangu
Darle punguza maringo na mapozi nakupenda
Iyee (eeh!)
Mamie (mamiee)
Mi ndo dadie (dadiee)
Mamie (mamie)
Mi ndo dadie (dadie)
Iyee (eeh!)
Mamie (mamiee)
Dadie (dadiee)
Mamie (mamie)
Iyee (iyeeh)
Mamie (mamiee)
Iyee
Iyee (iyee)
Iyee (iyee)
Iyee (iyee)
Ale we ni wangu, mi ni wako mpenzi wangu
Ale punguza maringo na mapozi nakupenda
Wewe ni wangu, mi ni wako mpenzi wangu
Mpenzi oh punguza maringo na mapozi nakupenda
Iyeeh (eeh)
Mamie (mamiee)
We ndo mamie (honey eh)
Mi ndo dadie (dadie)
Iyeeh, iyeee
Iyeee
Mamie (mamie)
Eeh mamie (mamie)
Iyee iyeee
Ale we ni wangu mamie (mamiee)
Mimi ni wako
Mamie (mamiee)
We ni wangu mamie (mamiee)
Mimi ni wako, mamaee