Baraka za Mungu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Haleluyaaaaaaaaaaaaa
Baraka zake Mungu ni tele
Baraka za Mungu ni tele
Fadhili zake za milele
Habadiliki yeye yule
Jana Leo na milele
Baraka za Mungu ni tele
Fadhili zake za milele
Habadiliki yeye yule
Jana Leo na milele
Baraka za Mungu ni tele
Fadhili zake za milele
Habadiliki yeye yule
Jana Leo na milele
Baraka za Mungu ni tele
Fadhili zake za milele
Habadiliki yeye yule
Jana Leo na milele
Hakuna hakuna
Mungu mwingine
Kama Jehova
Sifa zake ni kuu sana
Kila mahali
Hakuna hakuna
Mungu mwingine
Kama Jehova
Sifa zake ni kuu sana
Kila mahali
Habadiliki milele
Siku zote
Ni Mungu wa miungu
Habadiliki milele
Siku zote ni Mungu wa miungu
Baraka za Mungu ni tele
Fadhili zake za milele
Habadiliki yeye yule
Jana Leo na milele
Baraka za Mungu ni tele
Fadhili zake za milele
Habadiliki yeye yule
Jana Leo na milele
Baraka za Mungu ni tele
Fadhili zake za milele
Habadiliki yeye yule
Jana Leo na milele
Baraka za Mungu ni tele
Fadhili zake za milele
Habadiliki yeye yule
Jana Leo na milele
Aliigawa Bahari ya Shamu
Israel wakapita
Alimponya Barthimayo
Alokuwa kipofu
Aliigawa Bahari ya Shamu
Israel wakapita
Alimponya Barthimayo
Alokuwa kipofu
Hata wewe muite leo
Yeye yupo ataitika
Mkono wake si mfupi
Asiweze kutenda
Hata wewe muite Leo
Yeye yupo ataitika
Mkono wake si mfupi
Asiweze kutenda
Baraka za Mungu ni tele
Fadhili zake za milele
Habadiliki yeye yule l
Jana Leo na milele
Baraka za Mungu ni tele
Fadhili zake za milele
Habadiliki yeye yule
Jana Leo na milele
Baraka za Mungu ni tele
Fadhili zake za milele
Habadiliki yeye yule
Jana Leo na milele
Baraka za Mungu ni tele
Fadhili zake za milele
Habadiliki yeye yule
Jana Leo na milele
Mungu wangu nakusifu
Maana wewe ni Baba
Mungu wangu nakusifu
Maana wewe ni Baba
Mungu wangu nakusifu
Maana wewe ni Baba
Mungu wangu nakusifu
Maana wewe ni Baba
Mungu nakusifu
Maana wewe ni Baba
Maana wewe ni Baba
Maana wewe ni Baba
Maaana wewe ni Baba
Maana wewe ni Baba
Maana wewe ni Baba
Maana wewe ni Baba
Maana wewe ni Baba
Maana wewe ni Baba
Maana wewe ni Baba
Maana wewe ni Baba
Maana wewe ni Baba
Maaana wewe ni Baba
Maana wewe ni Baba
Maana wewe ni Baba
Maana wewe ni Baba
Maana wewe ni Baba