Calvary Yalikwisha Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Mmmmmm Calvary Yalikwisha
Yesu Kristo ni mzuri
Haleluya
Wema wake Mungu
Ni wa ajabu sana
Alivyojifanya hana utukufu
Sababu yetu
Tena alipooonekana
Ana umbo kama mwanadamu
Akanyenyekea akawa mtii
Hata mauti
Yesu wangu aliteswa
Na kuumizwa sana
Ili atutakase watu
Kwa damu yake mwenyewe
Kwa pendo lake Mungu
Tumeunganishwa kuwa familia moja
Na baba Mungu
Yote Calvary Yalikwisha
Kwa kupigwa kwake tuko huru
Yote Calvary Yalikwisha
Kwa kupigwa kwake tuko huru
Tuko huru kweli kweli
Tuko huru kweli kweli
Tuko huru kweli kweli
Tuko huru kweli kweli
Amina aaaaaaah
Akisha kuzivua enzi na mamlaka
Na kuzifanya kuwa mkogo
Kwa ujasiri
Kwa ujasiri akizishangilia
Katika msalabani huo
Ili tupate uzima wa milele
Sisi eeee
Kwa kuwa katika yeye
Vimepatanishwa vitu vyote
Na nafsi yake
Akishakufanya amani
Kwa damu ya msalaba wake
Ilipendeza utimilifu wote ukae
Yote Calvary Yalikwisha
Kwa kupigwa kwake tumepona
Yote Calvary Yalikwisha
Kwa kupigwa kwake tumepona
Tumepona kweli kweli
Tumepona kweli kweli
Tumepona kweli kweli
Tumepona kweli kweli
Amina aaaah
Katuweka huru
Kupitia damu yake ya thamani
Tumekombolewa sisi eee
Kwa damu yake eeeeeee
Yote Calvary Yalikwisha
Kwa kupigwa kwake tumepona
Yote Calvary Yalikwisha
Kwa kupigwa kwake tumepona
Tumepona kweli kweli
Tumepona kweli kweli
Tumepona kweli kweli
Tumepona kweli kweli
Amina aaaah