Mungu Umetamalaki Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Heeeeee heeeeeeee mmmmmhhhhh
Mungu Mungu umetamalaki iiiiiii
Dunia nzima umetamalaki iiiiii
Mahali kote umetamalaki iiii
Wewe ni Mungu wangu umetamalaki iii
Haleluya mataifa yote tumsifuni Bwana
Enyi watu wote mhimidini yeye
Kwa maana fadhili zake kwetu sisi
Na uaminifu wake ni wa milele
Acha nikusifu wewe Mungu wangu uuuuu
Mungu umetamalaki dunia nzima
Tena umejulikana kila mahali
Mungu umetamalaki dunia nzima
Tena umejulikana kila mahali heeeee
Wewe Bwana Mungu wangu
Nakupenda sana
Bwana ni jabali langu
Na boma langu uuuu
Mwokozi wangu
Mungu wangu
Mwamba wangu
Ngao yangu na
Pembe ya wokovu wangu uuuu
Katika shida yangu
Nalimwita Bwana
Bwanaa aaaa
Bwana wangu akanijibu
Na kuniweka pazuri
Bwana yupo upande wangu
Simwogopi mimi mwanadamu
Acha nikusifu wewe Mungu wangu uuuuu
Mungu umetamalaki dunia nzima
Tena umejulikana kila mahali
Mungu umetamalaki dunia nzima
Tena umejulikana kila mahali
Kila mahali dunia nzima
Dunia nzima kila mahali
Kila mahali dunia nzima
Dunia nzima kila mahali
Heeeeeee
Mungu umetamalaki dunia nzima
Tena umejulikana kila mahali
Mungu umetamalaki dunia nzima
Tena umejulikana kila mahali
Kila mahali dunia nzimaaa
Dunia nzima kila mahali
Mungu umetamalaki dunia nzima
Tena umejulikana kila mahali
Mungu umetamalaki dunia nzima
Tena umejulikana kila mahali
Kila mahali dunia nzima
Dunia nzima kila mahali
Kila mahali dunia nzimaaa
Dunia nzima kila mahali
Heeeeeee
Kila mahali heeeeee
Kila mahali heeeeee
Kila mahali heeeeee
Kila mahali heeeeee
Kila mahali heeeeee
Kila mahali heeeeee
Kila mahali heeeeee