Mungu Nakupenda Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
I love You Lord
I love You Lord
Mungu wangu nakupenda
Maana wewe kwanza ulinipenda sana
Ukafa msalabani kwa ajili yangu mimi
Na wengine tuwe huru
Mungu wangu nakupenda
Maana wewe kwanza ulinipenda sana
Ukafa msalabani kwa ajili yangu mimi
Na wengine tuwe huru
Nakuabudu na ntazidi kukuabudu
For your mercy and grace on me
My Lord oooh yeah
Mungu wangu
Nakuabudu wewe tu
Maana hujawahi niacha
You are worthy to be praised
Mungu wangu
Nakuabudu wewe tu
Maana hujawahi niacha
You are worthy to be praised
Sikio lako sio zito
Usiweze kusikia ombi langu
Nikuitapo Mungu wangu
Wewe husikia
Na kujibu ombi langu
Sikio lako sio zito
Usiweze kusikia ombi langu
Nikuitapo Mungu wangu
Wewe husikia
Na kujibu ombi langu
Ni wa thamani we kwangu
Milele yote nitakuabudu
Nakupenda sana tu
My Lord yeah
Mungu wangu
Nakuabudu wewe tu
Maana hujawahi niacha
You are worthy to be praised
Mungu wangu
Nakuabudu wewe tu
Maana hujawahi niacha
You are worthy to be praised
Nakuabudu
Na ntazidi kukuabudu
For your mercy and grace on me
My Lord ooooohh
Nakupenda nakupenda sana
Nakupenda Mungu wangu
We wa thamani kwangu
Nakupenda nakupenda sana
Nakupenda Mungu wangu
We wa thamani kwangu
Nakupenda nakupenda sana
Nakupenda Mungu wangu
We wa thamani kwangu
Nakupenda nakupenda sana
Nakupenda Mungu wangu
We thamani kwangu