![Upendo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/22/c24cffd441b04596bd1c668057182f68_464_464.jpg)
Upendo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Upendo - Paul Clement
...
Unazijua Siri zanguuuh lakini hukumwambia mtu
kuwa niliiba,kile nilifanya,pale nilisema uongo*2
(chorus)
Unazijua Siri zangu lakini umezificha
ukiamua uziseme nita aibikaaa
unazijua Siri zangu lakini umezificha
ukiamua unisitiri ndivyo ulivyopenda
Verse no 2
Unaujua undani wangu lakini hukumwambia mtu(aaaahaah)
kuwa ni mdhaifu tena ni mchafu umenifunika tuuu
unaujua moyo wangu unayajua mawazo yake
si mawazo mema,yasiyo pendeza umenifunika tuuu
(eeeeeeeh)
( U repeat the chorus)