![Mpango](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/22/c24cffd441b04596bd1c668057182f68_464_464.jpg)
Mpango Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Mpango - Paul Clement
...
Hata kama jogoo asipowika
jua asubuhi tu itafika
alieliumba jua
atalichomoza tena
najua furaha huja asubuhi
ila sitaingojea kwa machozi
nitaingojea kwa kuomba
sababu wakati wangu unakuja
usikariri mungu atatokea kaskazini
au mashariki, magharibi
akili zake hazichunguziki
atatokea ambako hukudhani
hata kama jogoo asipowika
najua asubuhi tu itafika
alieliumba jua atalichomoza tena
chorus....
sitadumu katika hali hii
mungu anao mpango mzuri
sitadumu katika hali hii
mungu anao mpango mzuri
instrument...
heeee onaa na
nanana ohnana
mpango wa mungu si wa mabaya
mpango wake kunifanikisaha
nakunijulisha yajayo
ambayo ameshanipangia
imani yangu inakuwa sasa
sababu yeye habaatishi
ila kwa sababu ya ile
aliolisema litakuwa
ooooooh mungu asemi uongo
mungu asemi uongo
akisema lazima atimize
je ni neno gani
gumu asiloweza
akisema lazima atimize
chorus...
sitadumu katika hali hii
mungu anao mpango mzuri
sitadumu katika hali hii
mungu anao mpango mzuri
we huta dumu katika hali hiyoo
mungu anao mpango mzuri
mahali apo umekaaa muda mrefu ila
mungu anao mpango mzuri
mpango wake ni kunifanikisha
mungu anao mpango mzuri
mpango wake ni kunipa majira mapya
mungu anao mpango mzuri
mpango wake kuniponya
kuniponya
mpango wake kunibariki
mungu anao mpango mzuri
sitadumu katika hali hii
mungu anao mpano mzuri