![Amen](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/22/c24cffd441b04596bd1c668057182f68_464_464.jpg)
Amen Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Amen - Paul Clement
...
najua nabii wa kwanza ni wewe
mwenyewe , juu ya maisha yako
ila leo nataka niseme neno
juu yako na italuwa hivyo
Mungu akulinde na akuhifadhi
Amen , na iwe hivyo
akubariki mjini pia na shambani
amen, na iwe hivyo
akupe neema nyingi , kwenye maisha haya
amen , na iwe hivyo
Mungu akupe uzao kama nyota za mbinguni
amen , na iwe hivyo
usipungukiwe maji wala chakula nyumbani
amen , na iwe hivyo
akubariki nyumbani pia na kazini
amen, na iwe hivyo
(amen ) eieieh amen *8
amen *8
najua nabii wa kwanza ni wewe
mwenyewe juu ya maisha yako
ila leo nataka niseme neno
juu yako na itakuwa hivyo
Mungu abariki kazi za mikono Yako .(ooh)
Kila ukanyagapo patakuwa pa kwako (ooh)
utakuwa wa kwanza na sio wa mwisho
amen, na iwe hivyo
kwako hatakuwepo tasa wala mwenye kuharibu mimba
amen ,na iwe hivyo
wewe hutakufa bali utaishii
(usimulie matendo makuu ya Mungu)
amen na iwe hivyo
bonde la mauti halitakuua wewe
amen , na iwe hivyo
hakuna silaha itakuwa kinyume nawe
amen , na iwe hivyo
umande wa mbinguni ukustawishe wewe
amen , na iwe hivyo
(ameen) amen *8 (uinuke, uinuliwe, ustawi,uwe juu, amen )
amen*8 .(ameen , amee...n, oooh)
amen *8 (uongezeke, iwe hivyo )
amen *8 (ameen , ooh )
najua nabii wa kwanza ni wewe
mwenyewe juu ya maisha yako
ila leo nataka niseme neno
juu yako na itakuwa hivyo
Mungu akulinde ooh bam bam bam , bam bam bam
oooh ooh bam bam bam , bam bam bam
ba..m, bam bam bam , bam bam bam
oooh ooh bam bam bam , bam bam bam