![Kitabu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/22/c24cffd441b04596bd1c668057182f68_464_464.jpg)
Kitabu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Kitabu - Paul Clement
...
kama ungekuwa kitabu..ningesimulia hadithi..
kama nikipewa kalamu..niandike nitamaliza wino,
matendo yako ni mengi Bwana hayaelezeki..,
kama nikipewa kalamu..niandike nitamaliza wino
kama ungekuwa kitabu..ningesimulia hadithi..
kama nikipewa kalamu..niandike nitamaliza wino,
matendo yako ni mengi wala hayaelezeki...,
kama nikipewa kalamu..niandike nitamaliza wino,
eeeh! kama ukiangalia Bahari. huwezi kuona mwanzo,huwezi kuona mwisho wake,..na hivyo ndivyo mungu alivyo..
Hana mwanzo wala Hana mwisho..
ila yeye ni zaidi ya bahari.... na Bahari imeumbwa na yeye, dunia nzima ni maktaba ya Mungu,..lakini maktaba hii..haija andikwa kwa njia ya maneno,...imeandikwa kwa njia ya matendo na uumbaji wake Mungu...
Na kuna maktaba za siri(ni Yale matendo ya Mungu na uumbaji ambao hatujawahi kuuona) lakini upo...
kama ungekuwa kitabu..(ningesimulia..)ningesimulia hadithi..
kama nikipewa kalamu..niandike nitamaliza wino,
(matendo yako..)matendo yako ni mengi (na wala haya..)wala hayaelezeki
kama nikipewa kalamu..niandike nitamaliza wino
(kama ungekuwa..)kama ungekuwa kitabu..(Bwana..)ningesimulia hadithi..
kama nikipewa kalamu..niandike nitamaliza wino,
(matendo yako..)matendo yako ni mengi (walaaa..)wala hayaelezeki
(kama..)kama nikipewa kalamu..niandike nitamaliza wino..
wewe si wa Jana..wala Leo...ila ni Mungu wa nyakati zote eiyeeeh!
(kama nikipewa kalamu..niandike nitamaliza wino)
wewe si wa Leo.. wala wa Kesho..wewe ni Mungu wa nyakati zote eeeeeh!
(Kama nikipewa kalamu..niandike nitamaliza wino)
wewe si wa kale...wala wa sasa..ila ni Mungu wa majira yote eiyeeeh!
(kama nikipewa kalamu..niandike nitamaliza wino)
wewe si wa sasa..wala wa baadae..wewe ni Mungu wa nyakati zote eeeeeh!
(Kama nikipewa kalamu..niandike nitamaliza wino)
(matendo yakooooh..)
matendo yako ni mengi (wala..)wala hayaelezeki..(kama niki...)
kama nikipewa kalamu..niandike nitamaliza wino..(iyeeiyee!)
KAMA UNGEKUWA KITABU..NINGESIMULIA HADITHI...
KAMA NIKIPEWA KALAMU..NIANDIKE NITAMALIZA WINO