![Dhabihu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/22/c24cffd441b04596bd1c668057182f68_464_464.jpg)
Dhabihu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Dhabihu - Paul Clement
...
Nimekufa tena niko hoi
mi ni dhabihu mi ni dhabihu
Roho ameupa mwili uhai
mi ni dhabihu mi ni dhabihu
Mwili wangu ni hekalu la Roho
mi ni dhabihu mi ni dhabihu
Si mimi tena bali Kristo ndani yangu
mi ni dhabihu mi ni dhabihu
Siongozwi tena na mwili huu ninaongozwa na Roho Mtakatifu
Siongozwi tena na mwili huu ninaongozwa na Roho Mtakatifu
Nimekufa tena niko hoi
mi ni dhabihu mi ni dhabihu
Mwili wangu ni hekalu la Roho
mi ni dhabihu mi ni dhabihu
Si mimi tena bali Kristo ndani yangu
mi ni dhabihu mi ni dhabihu