Mungu alijua Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Mungu alijua - Paul Clement
...
Hallo
Eh mama shikamoo
Je ni nani alijua leo ningefika hapa
Je ni nani alijua leo ningekuwa hapa
Hata wazazi wangu hawakujua ila
Mungu alijua
Hata rafiki zangu hawakujua ila
Mungu alijua
Hata walionilea hawakujua ila
Mungu alijua
Hata walimu wangu hawakujua ila
Mungu alijua