![Siku ft. Sakina Naftali](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/22/c24cffd441b04596bd1c668057182f68_464_464.jpg)
Siku ft. Sakina Naftali Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Siku ft. Sakina Naftali - Paul Clement
...
..........
This is the day that the Lord has made
We will rejoice and be glad in it and be glad in it
Siku hii Bwana amefanya haijalishi shetani kapanga nini juu yangu
Nitafurahia sababu Mungu amenipa siku hii
Ni furaha, amenipa siku hii
Nifanikiwe, amenipa siku hii
Ili niishi, ili niishi
Ikiwa siku njema kaifanya Mungu yaonekana mapema
Na ishara yake sio jua wala mvua kubwa
Ishara ni uzima na furaha huku ukihema
Huku ukimsifu Mungu (ukimsifu Mungu)
Ukimshukuru (ukimshukuru)
Amekupa siku (amekupa siku) njema oh oh ooh
Hatua zangu zaongozwa na yeye
Hatoacha mguu wangu usogezwe
Hatua zangu zimeshikamana naye
Kila mahali niko naye
Ninaenda naye
Ninakaa naye
Ananilinda yeaaah
This is the day that the Lord has made
(We will) We will rejoice and be glad in it and be glad in it ooh ooh ooh
Siku hii Bwana amefanya haijalishi shetani kapanga nini juu yangu
Nitafurahia sababu Mungu amenipa siku hii eeeh
Ni furaha, amenipa siku hii
Nifanikiwe, amenipa siku hii
Ili niishi, ili niishi
Mungu hupanda mbegu njema
Usiku huja adui hupanda magugu
Kitakachovunwa sio magugu
Ila mbegu njema neno la Mungu
Adui anachofanya
Ni kuiharibu siku
Aliyoifanya Mungu
Atuibie amani
Atuibie furaha
Mwivi haji, ila aibe
Achinje, aharibu
Ila Yesu alikuja, kurejesha vilivyoibwa
Ila Yesu alikuja, kurejesha vilivyoibwa
This is the day
This is the day that the Lord has made
We will rejoice and be glad in it and be glad in it
(Eeh Siku hii) Siku hii Bwana amefanya haijalishi shetani kapanga nini juu yangu
Nitafurahia sababu Mungu amenipa siku hii
Ni furaha, amenipa siku hii
Nifanikiwe, ooh amenipa siku hii
Ili niishi, siku hii