Ayee Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ayee - Paul Clement
...
nisingeweza bila wewe Yesu
sitaweza bila wewe Yesu
huko nyuma
nisingeweza bila wewe Yesu
huko mbele
sitaweza bila wewe Yesu
nisingeweza bila wewe
nisingeweza bila wewe Yesu
sitaweza bila wewe
sitaweza bila wewe Yesu
eeeh nisingeweza bila wewe Yesuuu
nisingeweza bila wewe yesu
sitaweza bila wewe
sitaweza bila wewe Yesu
nisingevuka bila wewe yesu ×2
sitavuka bila wewe Yesu ×2
umefanyika daraja langu ×2
ulifanyika daraja langu
mwaka kesho
utafanyika daraja langu
ulifanyika daraja langu
utafanyika daraja
utafanyika daraja langu
ooohh oohhh
oooh oooh
ninakosa maneno ya kusema
oooh oooh
oooh oooh
we babaa
oooh oooh
umenivusha Bwana
oooh oooh
umeniwezesha wewe
oooh oooh
nisinge pona bila wewe Yesu,×2
Sitapona bila wewe Yesu,×2
nisingeishi bila wewe Yesu ×2
Sitaishi bila wewe Yesu,×2
nisingeshinda bila wewe Yesu,×2
huko mbele
sitashinda bila wewe Yesu.×2
umefanyika uzima wangu,×2
ndani yako umo uzima wangu
umefanyika uzima wangu
umefanyika uzima wangu wewe
umefanyika uzima wangu
ayee ayeee ayee
ayee ayee, ayee