Hadi Milele Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Mmmhh
Maisha magumu
Kweli silahumu
Huku nipenda kisa fedha
Mapenzi yangu mimi kwako wewe
Niye molah anaye juwa
Kupenda nakupenda
Tena sitopenda wakutowe maishani mwangu
Oooh nono
Ni ndoto kuwa nawe
Ili tuhishi milele
Mimi na wewe
Ni raha kuwa nawe
Ukiwa pembeni yangu
Hadi milele
Tuhombe kwake molah
Mahombi yatimie
Tuhombe kwake molah
Mahombi yatimizwe
Mimi nawe, Hadi milele
Mimi nawe, Hadi kitimie
Mimi nawe, Hadi milele
Mimi nawe, Hadi kitimie
Mmmhh
Lalalah lalalahh
Watasema mengi
Utasikia mengi
Ila usijali
Maneno ni mengi, watachukia wengi
Acha tujivinjali
Nakupenda wewe
Unanipenda mie
Tatizo ni nini
Kuna nini, hawapendi niwe nawe
Ni ndoto kuwa nawe
Ili tuhishi milele
Mimi na wewe
Ni raha kuwa nawe
Ukiwa pembeni yangu
Hadi milele
Tuhombe kwake molah
Mahombi yatimie
Tuhombe kwake molah
Mahombi yatimizwe
Mimi nawe, Hadi milele
Mimi nawe, Hadi kitimie
Mimi nawe, Hadi milele
Mimi nawe, Hadi kitimie
Mimi na wewe
Ooohh, hadi milele
I love you
Oooh i love you babyyy