SIWEZI Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Nikiwa nawe we mrembo
Unavutiha
Rohoni mwako
We muuaji wa hisia
Nilivyo kuwa nawe
Nilitaka tuhishi milele
Ila tabia zako mbaya
Kweli zilinikimbiza
Kila siku kelele
Nikitaka kuongea nawe
Mara umerudi umelewa
Hicho kili niumiza
Mmmh
Mpenziwe
Mpenziwe
Nita funga kilicho changu
Maana mwenyewe kubaki single
Kweli sito humia
Mpenzi ooh
Mpenziwe
Nita funga kilicho changu
Maana mwenyewe kubaki single
Kweli sito humia
Yako mapenzi
Mimi siwezi
Mimi siwezi
Mapenzi ya vita
Mimi siwezi
Mimi siwezi
Yako mapenzi
Mimi siwezi
Mimi siwezi
Mapenzi ya vurugu
Mimi siwezi
Mimi siwezi
Yako mapenzi
Mimi siwezi
Mimi siwezi
Mapenzi ya hivi
Mimi siwezi
Mimi siwezi
Yako mapenziiih
Yako mapenzi heeeh
Mmmh woh woh wohh
Mara nikwite queen
My baby boo
Mi corazon
Ukiwa na marafiki zako
Maneno machafu uliniongelea
Maana nilikueshimisha
Kwa baba na mama
Na ndugu zangu wewe
Heshima nilio kupa wewe
Wala huku hiridhia
Mapenzi nilio kupa mimi
Huku yasamini
Heshima hikawa makapi
Nika hishia motoni
Nilikupenda nihamini
Hukunisadiki
Moyo ukahujaza matope
Ukaniona sina wasamani
Haya mapenzi
Mimi siwezi
Mimi siwezi
Mapenzi ya vita mimi sitaki
Mimi siwezi
Mimi siwezi
Asubuhi ugonvi mchana ugonvi
Mimi siwezi
Mimi siwezi
Wa asira ni wewe
Hutaki kubembelezwa
Mimi siwezi
Mimi siwezi
Mapenzi ya vita mapenzi ya vita
Woooohhh
Mimi siwezi
Mimi siwezi
Afadhali nikae mwenyewe mimi
Mimi siwezi
Mimi siwezi
Oooh haya mapenzi mimi siwezi
Ooohh
Ooohh
Mapenzi hee ihiyeeehh