![Hakuna Namna](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/17/c8251a893ace49d7a77f4833486eeea5_464_464.jpg)
Hakuna Namna Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Huuuhh haaaahh
Nilisha kuwa tiyari
Tangu tuliko tokea haah
Nilikuwa na dhamiri kutaka tufunge hile ndoa
Lakini kilicho jiri nawe umejihonea Ahhh
Nikweli unanipenda Na mi ninakupenda
Ila penzi lime vunda
Hakuna cha kunukia
Leo kazi mwana ndanda
Njaa nikujitakia
Yana sikitisha haya ninayo kuhambia
Lakini sina namna
Wala tena ya kuendelea
Subira muhimu sana japokuwa twahumia
Ndoa hupangwa mbinguni na kuja kwenye dunia
Mmmh
Naanaanahh
Mmmhmmmh
Wasikilize wazazi kile wanacho kuhambia
Radhi kwa molah mlezi
Wao wameshikilia
Hayo ndio mahamuzi
Hata kama ukalia
Jambo hili si la leo, zamani yaisha tokea
Najuwa hichio kilio ni kwamba unahumia
Aaahh Walicho fanya waho
Kina juzu kisheria
Wala usi walahumu
Hicho walicho hamua
Wana akili timamu
Wafanya Cho wanajua
Ooohh, mmmh
Hakuna namna
Najuwa ina humiza ooh ooohh
Mmmh
Hakuna namna
I'm sorry, I'm sorry
Hakuna namna
Ooh hakuna namna