
Let Me Go Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Bado nahona mengi
Mimi siwezi kuvuta kamba hiyo
Usiku usingizi sipati, mchana magonvi
Niepushe na dhambi hiyo
Ooohh Nirudishie moyo wangu nilio kupa mie
Maana Nilie mpenda tena ana nitesa mie
Oohh Nirudishie moyo wangu nilio kupa mie
Maana nilie mpenda tena ana nitesa mie
My baby,Just let me go
My baby,Let me go
My baby,Just let me go
My baby,Let me go
Huuuhh
Moyo nganganizi
Me siku wezi
Ooh baby nisamehe
Nihache nilivyo
Unipishe ili mbele nisonge
Penzi kwenye mzani
Maana si sharti unipende
Povu za jaa kinywani
Maana kusema siwezi
Nihache nilivyo
Unipishe ili mbele nisonge
Penzi kwenye mzani
Maana kupenda hunipendi
Ooooh
My baby,Just let me go
My baby,Let me go
My baby,Just let me go
My baby,Let me go
Hiiiihh
Mmmmhh
Let me go, Let me goo
Oooh young lady
Just let me goo
Young lady
Let Me Go