BLESS Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Hey baby,
You know,
All I say is I love,
Baby maisha ni mafupi kama chupi wanga hawa shituki
Kufata yao wanafata tu ya watu
Vichwa vyao box havina kitu
Tutu tule good time kila kona
Wakizidi kutuona watakoma
Vile umeona
Wale waliapasa nipe nizidi kuchoma,
Kuchoma chini.
Chini bila moto
Kokotoa mahesabu lije joto.
Ee Win kama loto
Nimejitoa mi Adou we ndio doto
Shida sio pesa pesa
Najua kuzisaka saka saka.
Shida sio mapenzi mpenzi
Napenda ukikata kata kata
Nakata noti (noti)
Siwazi lose (lose)
Nimejikoki (koki)
Kuwa boss (boss)
Nakata noti (noti)
Siwazi lose (lose)
Nimejikoki (koki)
Dream boss (boss)
Ongeza mapenzi tu yanipe support
Support support
Tukipanda juu watapata report
Report report.
All I need is bless bless
Is bless (in love)
All I need is bless bless
Is bless (in love)
All I need is bless bless
Is bless (in love)
All I need is bless (come on) bless (ahahah) Is bleeeeee
Jua nakupenda nakupenda sana sana
Jua ukienda
Ukienda mama nitakwama.
Naona ma-sister do wengi tu miyeyusho
Nakuona wewe tu ndio special
Hitimisho
Suruisho la mwanzo na mwisho
Najiona malaika
Kuwa nawe kilakitu uwakika.
Nikichoma naridhika
Kula nawe chakula kinapita nuru napata.
Hadi Monica Monalisa Vanesa
Wana fia fia mada.
Nami kwako sijadema tena.
Nakata noti (noti)
Siwazi lose (lose)
Nimejikoki (koki)
Kuwa boss (boss)
Nakata noti (noti)
Siwazi lose (lose)
Nimejikoki (koki)
Dream boss (boss)
Ongeza mapenzi tu yanipe support
Support support
Tukipanda juu watapata report
Report report.
All I need is bless bless
Is bless (in love)
All I need is bless bless
Is bless (in love)
All I need is bless bless
Is bless (in love)
All I need is bless bless
Is bleeeeee
All I need is bless bless
Is bless (in love)
All I need is bless bless
Is bless (in love)
All I need is bless bless
Is bless (in love)
All I need is bless bless
Is bleeeeee
Is bless,
Karrysan Pepa all I need is
Is bless
Yeayea Ukonga Down Rap City
Zahela Nation Pure Oxygen music
Eleven Page what's up
A. Bizo.