MAMA (feat. Irene & James) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
I you mama
Mama
Najivunia kua mtoto wako
Amini mimi ni mali utajiri wako
Jisifie furahi wakikukebei
Jivunie jidai mi napanda bei
Tanzania inanijua kwa malezi yako
Sifa zangu chukua ni faida yako
Wanione sifai wala sipotei
Leo nawa surprise wala sikosei
Amani bila ugomvi ndio upendo
Naamini unabusara kwa vitendo
Husikumbushe vile visa na skendo
Yale makosa ya mshua kwenda kando
Leo kwenye hali ngumu kweli sikatai
Ukitabasamu wenye chuki bye bye
Bado nalifanya game mama sina shy
Nasaka vitu vitam bila ulaghai
Mama nakupenda (Nakupenda mama)
And everything am doing is for you
(Milele na milele)
Mama nakupenda (Nakupenda mama)
And everything am doing is for you
Milele na milele
Ilikosekana pesa ya kurudi shuleni
Ilibidi kua pusha
Waku push madini k.koo jangwani
Mara magomeni mateja nikawavisha
Steam kichwani
Zaidi ya kuzini ili kosa najutia
nilibadili tabia kufata sheria
kwenda sawa na maisha kabisa nikajitakatisha
Nilibaki tu nachana huku mi ni driver
Bodaboda bajaj kama naigiza
Na zaidi nilijua maisha
Yale ya torati nikayafatisha
Kwenye hip hop leo kama miujiza
Siogopi wenye vyeo kwa nguvu ya giza
Jah kaniimalisha naishi kwa upendo na mipango aliyo ipitisha
Mahesabu sio baridi umakini na uzidi
Ngoma kali nazitwanga nakalisha
Ile furaha itarudi kuwa hapa sina bud
Mama hata wanga wakibisha haa
Nakupenda mama
Nakupenda mama
Wewe ndiwe nguzo yangu uhuu
Ei eiye
Ohu know uoo
Uhuu uhuu uhuuuu uhuuu mamaa
aha ahaaa
Mama nakupenda (Nakupenda mama)
And everything am doing is for you
(Milele na milele)
Mama nakupenda (Nakupenda mama)
And everything am doing is for you
Milele na milele
Uhuuuoo
Mama I love you mama
ooh ooh ooh ohohoouu
You my everything mama
I love you uhuu
I love youuuu I looo oho oho
Mama nakupenda
Na kila nachofanya is for you
Mama nakupenda
Na kila nachofanya is for you
Kila nachokifanya kwa ajili yako.