HILI BAG Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
HILI BAG (pdf read)
Tongwe record
Eleven page
Hili bage unaloliona
Hili bage unaloliona
Hili bage unaloliona limebeba sneaker
Limebeba bring bring
money money nyingi nyingi
Hili
Hili bag
Hili bag
Yoo waa yea Karrysan yea ooh ahaa
Hili bag hili bag J.Rider
Swagger sio za kifala I'm don king
I ga sneaker jeans black so clean
T-shirt bandana like Brooklyn
24/7 I ga shine
Visa kwenye bag boy passport
Kitaa kinabaki hoi airport
Nasafiri dop boy kwa noti
Nishajikoki sizamii boot
Wana place number one
wanna see my face
Namba two money money
Tatu wana say
Hey hey Karrysan
Warembo hi
Wanavuta hadi zip washakata tie
Mi sikatai harakati ndio mtindo najidai
Mi nafrai because why,
mapenzi na bingo am so fly
Mwanga hakai.
*****
Hili bag unaloliona limebeba swagger
Hili bag unaloliona limebeba zana
Hili bag unaloliona limebeba sneaker
Limebeba bring bring
money money nyingi nyingi
Hili bag unaloliona limebeba swagger
Hili bag unaloliona limebeba zana
Hili bag unaloliona limebeba sneaker
Limebeba bring bring
money money nyingi nyingi
*****
Primary secondary Wana tiki ndio
University east west hakuna a-say sio
Utafutaji upigaji hela fagio
Kua good better best safi hiyo
Niko ndio kiharakati sikosei pata hiyo
Niko mbio nishalidaka halipotei ilo salio
No kilio nishakikata akilejei mafio
Respect ndio report nayopata
Mi raster dang hustler
Sitaki tu u-star hela uwakika
Nikiwaka sana
Wanga wananuna
Lv Gucci d&g
Ndio maana nakata k kiunoni zana.
Round hii mpya mpya
Track hii mpya mpya
Round baby kata baby
nikuone mpya mpya
Vers mpya mpya stage mpya mpya
Round baby kata baby
Nikuone mpya mpya
*****
Hili bag unaloliona limebeba swagger
Hili bag unaloliona limebeba zana
Hili bag unaloliona limebeba sneaker
Limebeba bring bring
money money nyingi nyingi
Hili bag unaloliona limebeba swagger
Hili bag unaloliona limebeba zana
Hili bag unaloliona limebeba sneaker
Limebeba bring bring
money money nyingi nyingi
****
Kama siku mpya nafungua new page
Mambo yatajipa noti kwenye bag
Nasikilizia wanao saka u-star stage
Wengi wao sio kama pala unyoge draid
Jina kulisaka wanasota mpaka
Waliwe kila pande paper
Wanataka kuli force game
Kali game hawawezi
Kwanza vuta lenzi bila utata
Round hii mpya mpya
Track hii mpya mpya
Round baby kata baby
nikuone mpya mpya
Vers mpya mpya stage mpya mpya
Round baby kata baby
Nikuone mpya mpya
*****
Hili bag unaloliona limebeba swagger
Hili bag unaloliona limebeba zana
Hili bag unaloliona limebeba sneaker
Limebeba bring bring
money money nyingi nyingi
Hili bag unaloliona limebeba swagger
Hili bag unaloliona limebeba zana
Hili bag unaloliona limebeba sneaker
Limebeba bring bring
money money nyingi nyingi