SAMBAMBA Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Jee Aah
Jee jeje jeeah
Jee
Muda huu nahitaji kutulia
Malikia kama utapenda to marry you
Je, utapenda
Wanaponda we utanishinda.
Niende kwa sheikh niende kwa pastor
au niende kwa mganga.
Nikuroge we husije kuniacha.
Milele upete nikitwanga
Nganganga
Kama unataka kupendwa nitaganda.
Ila kama unataka kudanga
Nitakugonga kisha nitaenda japo napenda
Baby twende sambamba
Sambamba vilevile sambamba
Sambamba
Nalia na moyo tuu twende sambasmba
Alinde na moyo huu sambamba
Nibaki na wewe tuu twende sambamba
Ulie nanyota kuu onananana
Nalia na moyo tuu twende sambamba
Alinde na moyo huu sambasmba
Nibaki na wewe tuu twende sambamba
Ulie nanyota kuu twende hee hee hee
Uwaminifu ndio nataka
Nikipata vyote nitakupa
Nijisifu nikipata takataka zote nitatupa
Siogopi papa wacha nizamie
Ndani ya bahari ya mapenzi nayotaka
Sihondoki mpaka kifo kiamue
Sioni dosari kama penzi nalipata.
Bila utata nimenasa vile fundi wa kitanda
Na vile uko fasta kwenye pesa
Bila gundi nimeganda.
Baby twende sambamba
Sambamba vilevile sambamba
Sambamba
Nalia na moyo tuu twende sambamba
Alinde na moyo huu sambamba
Nibaki na wewe tuu twende sambamba
Ulie nanyota kuu onananana
Nalia na moyo tuu twende sambamba
Alinde na moyo huu sambamba
Nibaki na wewe tuu twende sambamba
Ulie nanyota kuu hee hee hee
Sisi tunapanga
Pia Mungu anapanga
Ila wapika majungu wanawanga
Dawa yao tukienda sambamba.
Baby twende sambamba
Sambamba vilevile sambamba
Sambamba
Nalia na moyo tuu twende sambamba
Alinde na moyo huu sambamba
Nibaki na wewe tuu twende sambamba
Ulie nanyota kuu twende onananana
Nalia na moyo tuu twende sambamba
Alinde na moyo sambamba
Nibaki na wewe tuu twende sambamba
Ulie nanyota kuu twende (you know)
hee hee hee
King Pepa
Karrysan Pepa
What's up D.Moo
D.Moo records
Zahela Nation like this ni**a
Ukonga Down Rap City is in the house.