
Some Love ft. Chan Chan, Fathermoh & Jovial Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Some Love ft. Chan Chan, Fathermoh & Jovial - Ssaru
...
.....ssaru uuah uuah uuah,,,,ooh yeah yeah (request)
she wants some love
mtoto mali fisa na ameweza
she just wanna hold on me
lewa ki me na tu kwa meza huyu manzi ako fine
She wants some love...,aki manzi ako party na amebeba
leta waiter coz the bills' on me
si mind tukikam tu mtaani tumeweza
le me treat you right and she wants some love
aah,aah a wan love Aah love from above
mungu ametuma sign imebaki tu kuona doves
aah,,mi nkikupata naskia kaa nmepata doze
we need gloves ndo tusi get germs
vile tume jam jam napenda hiyo bum bum
naona uko na ham tukamilishe hanjam
vitamins tena vitu vitam tam,
come kuja beiby aah I mean come come
Naitaka tena,shida sezi sema
alf inakaa uka Jingli siezi penda ukitema
bess mapema ikule kaa unanimenya
na hicho chanda unataka,hapa kwangu ndo chema
she wants some love
mtoto mali fisa na ameweza
she just wanna hold on me
lewa ki me na tu kwa meza huyu manzi ako fine
She wants some love...,aki manzi aki party na amebeba
leta waiter coz the bills' on me
si mind tukikam tu mtaani tumeweza
le me treat you right and she wants some love
Napenda haga za njeri napenda jegi za sly,
napenda macho za Winnie na pia zake ma thigh
we ni mrembo...mamako pia ni mrembo
mboch...mama wakambo...
sichagui niite ba' Gloria
sijai lalisha kaa nitamu na roria
diaba ni tight oops hii si bogoria
niogope Mungu,uji... na pia gonorrhoea
nikose kula c**chie usiku get Malaria..
she wants some love
mtoto mali fisa na ameweza
she just wanna hold on me
lewa ki me na tu kwa meza huyu manzi ako fine
She wants some love..,aki manzi aki party na amebeba
leta waiter coz the bills' on me
si mind tukikam tu mtaani tumeweza
le me treat you right and she wants some love
You wanna touchie ma bhady...a drive you crazy
when am calling you daddy...
you know you like the taste of ma goodie goodie
chunga sukari usipate cavityy.... yeah... yeah
Awe na misuli na hela,akinishika mwili
nabaki nahema.$$$...na akitema naimeza
chakula napewa jikoni Hadi kwa meza....
she wants some love
mtoto mali fisa na ameweza
she just wanna hold on me
lewa ki me na tu kwa meza huyu manzi ako fine
She wants some love...,aki manzi aki party na amebeba
leta waiter coz the bills' on me
si mind tukikam tu mtaani tumeweza
le me treat you right and she wants some love....
Written by..
RAYKID KE.