
Pita Hivi Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Pita Hivi - Kassam
...
Sisi waja wake mola hatujakamilika
Ndo mana kila siku twatenda makosa
Mimi si mashine tata niendeshwe na mota
Haya yote yamateso yananishinda weee
Navumilia unaforce mpka nipige konde
Nakufuru mola niwe ata kipofu nisikuone
Majukumu nilibobea
Kichwa ngumu kung'ang'ania
Mi kwako basi kuandafia
Sura buyu nimeshika njia
Aah umenichoa aah aaah ( pita hivi)
Nami nimekuchoka wewe (pita hivi)
Kila mtu ya kwake (pita hivi)
Sitaki lawama lawama (pita hivi)
Uwah sisilipi uzuri silipi
Kuna wenzio kibao wataka wawe na mimi
Sirudi nyuma tena mate nishatemaa
Umejitapa tapa mangapi
Nakuheshimu ndo mana nakuaga kwa heshima sana
Ukinimiss sana mpigie tu simu mama
Majukumu nilibobea
Kichwa ngumu kung'ang'ania
Mi kwako basi kuandafia
Sura buyu nimeshika njia
Aah umenichoa aah aaah ( pita hivi)
Nami nimekuchoka wewe (pita hivi)
Kila mtu ya kwake (pita hivi)
Sitaki lawama lawama (pita hivi)