
Happy Birthday Mama Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Happy Birthday Mama - Kassam (TZ)
...
Tarehee kama ya leo mwezi kama wa leo
Ndio ulizaliea mama kipenzi changu cha roho
Akilini mwangu upoo moyoni mwangu upo mama
Ww ni mama yangu na mm ndio mwanao
Sina uwezo wa vikubwa nilichobarikiwa chukuaa
Ooh chukuaaa oh chukua
Basi miguni mwako nilale kidogo
Ah japo nimekuaa nimekuaa
Keki nitakulishaa
Tupige pige mapicha mama
Nataka uenjoy maishaa
Furahia siku kuzaliwa
Sitojali pesa kuisha acha nikupe zote kabisa mama
Katika haya maisha napambana kwa ajili yako mama
Happy birthday to you
Happy birthday to you mama
Ooh ooh To you
Happy birthday to you mama
Happy birthday to you mama
Happy birthday to you mama
Ooh ooh to you
Happy birthday to you Mama
Maaama
Pia nikupe pole kwa ulivyonileaa
Uliumia vidole nguo zangu kunifulia
Uji ulinipozea mwanao nisije ungua
Ata hapa nilipofika ni kwa zako dua
Aanh
Kwenye vitu vyakutisha nikishtuka nakutaja mama
Ibaki nafasi moja ya upendeleo nakupa ww mama
Mama kweli nakupenda mama
Mama kweli nakupenda mama
Keki nitakulisha tupige pige mapicha mama
Nataka uenjoy maisha furahia siku kuzaliwa
Sitojali pesa kuisha acha nkupe zote kabisa mama
Katika hapa maisha napambana kwa ajili yako mama
Happy birthday to you
Happ birthday to you mama
Ooh oh to you
Happy birthday to you mama
Happy birthday to you mama
Happy birthday to you mama
Ooh oh to you
Happy birthday to you mama
Maama