
Tusigombane Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
Lyrics
Tusigombane - Kassam (TZ)
...
Amani itawale- Kassam
Moyo uso na ustamilivu upoteza vyote
Yanini tushindane fahari tue wote
Siku mojamoja baby amani itawale
Maugomvi ya nini twaishi kwa machale
Wanipa fikira za zamani penzi lipo anza
Mmmh mahabani nilifana
Sipendi tushindane baby
Unathamani kubwa baby
Tusilie tucheke baby
Nyuso za furaha
Mawazo hayaishi ukinyamazaa
Nimekosea nieleze mimi
Sio mwenyewe unalia
Sasa ntajua kosa vipi babbyy
Tusigombane tusigombanee
Tusigombane tuzungumze tuyamalize
Tusigombane sasa ukinuna yasaidia nini my
Tusigombane njoo tuzungumze
Yeah tuzungumze tuyamalize
Visasi tusilipuze
Ata nilipiga sim haupokei
Ukipokea hauongei pia
Kama samaki umenila kichwa mpka mkia
Na mapenzi unayonipaga so mapenzi ya bia
Yakunilewesha unaniteka moyo mpka hisia
Unavyoweka weka chini na dekadeka
So kununa bila kutekenywa ninachekacheka
Unavyonipa utamu mpka kwenye
Na vyenye unavyoshika kisu muhogo umenye
Tusigombane tusiachane nakufill unanifill nami nakufill pia
Tusirumbane tupendane mpka wanga waone noma jua nakupenda pia
Sipendi tushindane baby
Unathamani kubwa baby
Tusilie tucheke baby
Nyuso za furahaa
Mawazo hayaishi ukinyamaza
Nimekosea nieleze mimi
Sio mwenyew unaliaa
Sasa nitajua kosa vipi babby
Tusigombane tusigombane
Tusigombane tuusigombane
Tusigombane tuuu