
Nimezama Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Nimezama - Kassam
...
uuuh yeeyeee
kassam
nitatangaza sifa zako kama nahubiria dini
naonesha na picha zako huyu ndo mpenz wangu Mimi
your so beautiful ma
unanifaa kinoma
masaa sipo kuona moyo unauma noma
mbingu nyota zatuona
mungu anatuona
penzi la baraka na tunapendana aaahh
amna idea yani idea yani nimezamiaa
penzi lake tamu tende ya haluwaa GARAB
jamni nimezama ooh nimezamaa
kweli nimezama aah nimezama
kweli nimezama nimezama aah nimezama
aah nimezama kweli nimezama aah nimezama
jama nimezama kweli nimezama nimezama
mnaorusha mawe penzi letu sio la vioo
tumelijengea zege zege lipo nganganga
lipo ngangangaa aahh
penzi lako nzima data hata waseme nini nini
hao watu wazima walokosa haya walokosa haya
kwenye dimbwi la mapenzi nimezama
sifurukuti sijiwezi nimezama
repeat chorus